Kutuhusu/About
Kiingereza.com ni tovuti mpya ya wanafunzi, walimu na wengine walio na nia ya kujua zaidi kuhusu lugha ya Kiingereza. Ina makala kuhusu lugha, na pia ushauri kwa wanafunzi ikijumuisha uhakiki wa nyenzo za mtandaoni zenye zinaweza kuwa za umuhimu, na jinsi bora ya kuzitumia, pamoja na baadhi ya makala yanayovutia kwa ujumla ambayo yanafurahisha kusoma.
Disclaimer: Kiingereza.com na programu ya Kiingereza – Hatua kwa Hatua zinamilikiwa na kampuni moja ambayo ni Educational Exports Ltd., UK.
Kiingereza.com is a new web site for students, teachers and others interested in the English language. It contains articles about the language, and also advice for learners including reviews of online resources that may be useful and instructions on how best to use them. There are also some general interest articles that should be fun to read.
Disclaimer: Kiingereza.com and the Kiingereza – Hatua kwa Hatua app belong to the same company, Educational Exports Ltd., UK.