A bad workman always blames his tools.

(Mfanyakazi (fundi) mbaya, hulaumu zana zake.)

Msemo huu husemwa ambapo mtu hulaumu kosa au kufeli kwa kuhusisha na zana anazotumia kufanyia kazi.

(Mara nyingi huwa ni yule mtu anayetumia zana na namna gani anazitumia na hilo ndio jambo muhimu kuliko zana hizo anazotumia.)

bad – baya     workman – mfanyakazi

blame – laumu     tool – zana

Look what the cat dragged in!

(Ona alichokokota paka!)

Hii hutumika pale unapomwona mtu aliyefanya kitu kibaya san ana kisha akatoroka kwa muda kisha akaruhusiwa kurudi tena nyumbani.

look (tazama/angalia)     cat (paka)     drag  (kokota)

Empty vessels make the most noise.  

Photo by Kyle Winkle on Unsplash

(Debe tupu hufanya kelele zaidi.)

Vyombo vitupu kawaida hufanya kelele sana vinapogongwa na kitu.

Watu wasio na akili nzuri wala busara  (kwa meneno mengini, vichwa vitupu) mara nyingi huongea kwa sauti kubwa na huongea sana.

empty  (tupu)     vessel  (debe, chombo)

make  (fanya)

the most  (zaidi (ya yote)

noise  (kelele)

It’s like trying to get blood out of a stone.  

(Ni kama kujaribu kutoa (kukamua) damu kwenye jiwe.)

Ni kama vile haiwezekani kamwe kwa mtu huyu kukupa kitu chochote (mfano pesa, habari) kwa sababu huwa hawataki kutoa.

It’s like (Ni kama)     try (jaribu)

get (toa, pata)

blood (damu)     stone (jiwe)

Main photo (tools / zana) by Hunter Haley on Unsplash

Kiingereza Bora Zaidi barani Afrika

Nchi hizi za Kiafrika zinazungumza Kiingereza bora zaidi, kulingana na EF Education First, kampuni ya elimu inayojishughulisha na ufundishaji wa lugha. Tanzania iko nafasi ipi na utafiti wa EF ni sahihi kiasi gani? Kulingana na utafiti wa hivi karibuni wa EF, nchi...

Misemo na methali za Kiingereza 1 (English sayings and proverbs 1)

Misemo na methali za Kiingereza 1 (English sayings and proverbs 1)Too many cooks spoil the broth.Photo by Gaelle Marcel via Unsplash(Wapishi wengi mno huharibu mchuzi.)Msemo huu kwa Kiingereza unamaanisha kuwa jambo au mradi wowote ule huharibika ikiwa utasimamiwa na...

Kamusi za Mtandaoni za Wanafunzi wa Kiingereza (na zingine ambazo zinaweza kutumika nje ya mtandao)

Kuna idadi ya kamusi zinazopatikana bila malipo mtandaoni ambazo zinaweza kusaidia katika kusoma Kiingereza. Baadhi yazo pia zinaweza kupakuliwa kama programu na kutumika nje ya mtandao. Hapa kuna baadhi ya zile bora, kwa wakati wa kuandika:Kamusi za Lugha mbili...

Viungo kwa wazazi na watoto

Wasaidie watoto wako kujifunza Kiingereza Kuna idadi ya nyenzo kwenye mtandao ambazo unaweza kutumia na watoto wako kuboresha Kiingereza chao, ambacho nyingi ni bure. Ifuatayo ni uteuzi wa nyenzo zile  bora zaidi:VIFAA BILA MALIPO KUTOKA UINGEREZABritish...

Oxford na Cambridge ni nini?

Katika kujifunza Kiingereza, kuna uwezekano utakutana na majina haya. Oxford na Cambridge ni majina ya miji nchini Uingereza ambapo vyuo vikuu viwili vya zamani zaidi, vya kifahari zaidi, Chuo Kikuu cha Oxford na Chuo Kikuu cha Cambridge, viko.                     ...

Viwango vya Kiingereza

Wakati wa kuchagua nyenzo za kufundisha au kusoma, inasaidia kuelewa viwango tofauti ambavyo wanafunzi wa Kiingereza wameainishwa, na wewe au wanafunzi wako mpo katika kiwango gani. Viwango hivi vimeonyeshwa hapa chini. Piramidi hutumiwa mara nyingi kwa sababu kuna...

Majaraibio (ya Bila Malipo) ya Kiingereza Mtandaoni

Jua kiwango chako ili uweze kupata nyenzo za kujifunzia zinazokufaa Ni muhimu kujua kiwango chako cha Kiingereza ili kujua ni nini unapaswa kusoma ili ujiboreshe. Kuna idadi ya majaribio ya bila malipo yanayopatikana mtandaoni ili kukusaidia kujua kiwango chako.BBC...

Sababu 5 kwa nini hujajifunza Kiingereza

Watu wengi wanaona aibu kwa sababu hawawezi kuzungumza Kiingereza kama marafiki na wafanyikazi wenzao. Hata hivyo, unapaswa kufahamu kwamba kuna sababu kadhaa za hukujifunza lugha ya Kiingereza hapo awali, ambazo huenda zisiwe kosa lako:1 Hakuna aliyezungumza nawe kwa...
0 Comments
Submit a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow us for more articles like this.
Tufuate kwenye kwa maudhui kama haya zaidi.

If you like this content, share it on Twitter or Facebook.
Kama unapenda maudhui haya ishiriki kwenye Facebook, Twitter.