by James | Oct 26, 2023 | Uncategorized
A bad workman always blames his tools. (Mfanyakazi (fundi) mbaya, hulaumu zana zake.) Msemo huu husemwa ambapo mtu hulaumu kosa au kufeli kwa kuhusisha na zana anazotumia kufanyia kazi. (Mara nyingi huwa ni yule mtu anayetumia zana na namna gani anazitumia na hilo...
by James | Oct 17, 2023 | Uncategorized
Nchi hizi za Kiafrika zinazungumza Kiingereza bora zaidi, kulingana na EF Education First, kampuni ya elimu inayojishughulisha na ufundishaji wa lugha. Tanzania iko nafasi ipi na utafiti wa EF ni sahihi kiasi gani? Kulingana na utafiti wa hivi karibuni wa EF, nchi...
by James | Sep 29, 2023 | Uncategorized
Misemo na methali za Kiingereza 1 (English sayings and proverbs 1) Too many cooks spoil the broth. Photo by Gaelle Marcel via Unsplash (Wapishi wengi mno huharibu mchuzi.) Msemo huu kwa Kiingereza unamaanisha kuwa jambo au mradi wowote ule huharibika ikiwa utasimamiwa...
by James | Sep 22, 2023 | Uncategorized
Kamusi za Mtandaoni za Wanafunzi wa Kiingereza (na zingine ambazo zinaweza kutumika nje ya mtandao) Kuna idadi ya kamusi zinazopatikana bila malipo mtandaoni ambazo zinaweza kusaidia katika kusoma Kiingereza. Baadhi yazo pia zinaweza kupakuliwa kama programu na...
by James | Sep 22, 2023 | Uncategorized
Viungo kwa wazazi na watoto Wasaidie watoto wako kujifunza Kiingereza Kuna idadi ya nyenzo kwenye mtandao ambazo unaweza kutumia na watoto wako kuboresha Kiingereza chao, ambacho nyingi ni bure. Ifuatayo ni uteuzi wa nyenzo zile bora zaidi: VIFAA BILA MALIPO KUTOKA...
by James | Sep 22, 2023 | Uncategorized
Oxford na Cambridge ni nini? Katika kujifunza Kiingereza, kuna uwezekano utakutana na majina haya. Oxford na Cambridge ni majina ya miji nchini Uingereza ambapo vyuo vikuu viwili vya zamani zaidi, vya kifahari zaidi, Chuo Kikuu cha Oxford na Chuo Kikuu cha Cambridge,...